Submit Lyrics to wikilyrics


Diamond Platnumz – Mtasubiri Lyrics

Share

Mtasubiri Lyrics by Diamond Platnumz (feat. Zuchu)

 

Mmmh mmmh mmmh

Eeh nini sasa

Eti amina, dua zimeitikiwa

Ashtuti nije kupa mali yako

Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa

Mahututi nasubiri tiba yako

Na nisipo kuona na raha nakosa

Situlii mpaka unikumbate darling

Ooh

Kiranga chote mi koma, ukianza dear

Shughuri kwisha yangu habari

Eti unanipenda mi (mmnh)

Unanitaka pia (mmnh)

Unaniamini (mmnh)

Na umeniridhia

Oh unanipenda mimi (mmnh)

Unanitaka pia (mmnh)

Unaniamini (mmnh)

Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane

Ooh mtangoja

Mtasubiri sana mtasubiri

Wanasubiri tuachane

Mtasubiri sana mtasubiri

Vuten kiti mkae

Mtasubiri sana mtasubiri

Ooh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa

VIEW:  Diamond Platnumz – Fine Lyrics

Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja

Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja

Ooh baby penzi laini sitoi buja

Na moyo nishaweka kwako nanga

Wanajisumbua kukesha kwa waganga

Na presha zitaqwashuka na kupanda

Tena deka we shaukwa baby tamba

Eti unanipenda mi (mmnh)

Unanitaka pia (mmnh)

Unaniamini (mmnh)

Na umeniridhia

Oh unanipenda mimi (mmnh)

Unanitaka pia (mmnh)

Unaniamini (mmnh)

Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane

Mtasubiri sana mtasubiri

Mtakesha

Mtasubir sana mtasubiri

Mtandike jamvi mukae

Mtasubiri sana mtasubiri

Mtangoja sana

Wanasema eti umeniroga

Ni kweli ila inawahusu nini

Hunipendi ila unanichuna

Ni kweli ila inawahusu nini

Eti wanasema wewe ni kicheche

VIEW:  Masterkraft ft. Diamond Platnumz, Flavour – Abeykehh Lyrics

Ni kweli ila inawahusu nini

Utanichezea kesho uniache

Ni kweli ila inawahusu nini


Note: Please support wikilyrics by Sharing or dropping a comment here. Also, You can submit song lyrics, poem or anthem here and reach thousands of Audience!